February 06, 2016

 Anaitwa saddy, ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya toka mkoani Morogoro Tanzania. Ameachia wimbo wake wa kwanza kabisa unaoitwa Usiniite akimshirikisha Squeezer. Wimbo umefanyika katika studio za Kwanzan records za mkoani Morogoro,  producer wa wimbo huu ni Vennt Skillz 

For Interview
 
contacts: 0659 856972
          0653 361070
Anaomba Support yako sana Mdau kusupport kazi hii.

  Download hapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE