SONG_VANESSA ni ngoma mpya ya Bexy wamusic inayoitwa Vanessa hii ni ngoma mpya inayofata baada ya kutoa ngoma iliyopita inayoitwa Aibu na nyingine kama ukisinzia rmx Lulu........VANESSA ni wimbo unaozungumzia mapenzi ya pande mbili ...........shukrani zangu kwa wote mnaosapoti music wa bexy wamusic na bomgo fleva pia
Download hapa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment