
Kutokana na maombi ya wadau wetu ya mara kwa mara, sasa tutaanza kuwaletea nyimbo mbalimbali za zamani, hii ni kutokana na maombi ya wadau pamoja na chaguo letu. Leo tumeanza na wimbo wa Bob Marley unaitwa No woman no cry.wimbo ambao uliimbwa mwaka 1979
0 MAONI YAKO:
Post a Comment