
Siku ya jana mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Ndugu. Ruge Mutahaba alizungumza na watanzania na dunia kwa ujumla kupitia PB ya Clouds Fm na Clouds360 ya Clouds TV, kuhusiana na fursa zilizopo ambazo mtanzania anaweza kuzitumia kujikwamua kiuchumi. Hapa tumekuwekea video nzima ya Fursa kumi na Ruge Mutahaba
TAZAMA VIDEO HAPA CHINI
0 MAONI YAKO:
Post a Comment