March 07, 2016

 

 

 Napenda kutoa tahadhali kwa ndugu zangu juu ya huu utapale uliozidi kushika kasi nchini. Kuna kundi la matapeli lililoenea sehemu kubwa ya Tanzania. Wameibuka na mbinu yao ya kupigia watu simu wakijifanya wanawafahamu, wanawapa dili la ela nyingi ili kuwatamanisha . Jihadhali na watu hao ndugu. Wengi hujifanya watu wa Kilimo, Madini, Madawa na ata utalii.

Sikiliza sauti ya moja ya tukio lao.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE