Akizungumzia swala hilo, Babu Tale amedai anafanya haya akiwa kama mzazi, Mtanzania, mdau mkubwa wa Sanaa na Raia mwema.
“Mimi mzazi nina watoto wa kiume lolote linaweza kutoka, msanii yeyote aliyekuwa tayari kuacha Unga aje nitampeleka Rehab kama nilivyofanya kwa Chid Benz” Alisema.
Akizungumzia maendeleo ya rapper Chid Benz kwenye Rehab Bagamoyo, amesema msanii huyo anaendelea vizuri na matibabu na anategemea kupata ripoti kamili baada ya mwezi mmoja.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment