Mtu mmoja ambaye hatukuweza kulipata jina lake mkazi wa Mkamba Kilombero, amekutwa polini akiwa amekatwa miguu yake yote miwili na kutelekezwa polini. Tukio hilo limetokea siku ya juzi katika kata ya Ruaha wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro.Kwa mujibu wa chanzo cha habari hizi kinasema, baada ya bwana huyo kuokotwa akiwa hana miguu, lakini siku ya leo Marc 31 miguu hiyo imeonekana sehemu nyingine jilani na kanisa la ROMA huko huko Ruaha Kilombero. Watu waliomuokota mtu huyo, wanasema mwanzoni walipomuokota, alikuwa akipumua kwa shida sana na baadaye akapoteza fahamu na kumuwahisha katika Hospitali ya Illovo ambapo ndipo alipolazwa mpaka sasa akiendelea kupatiwa matibabu huku jeshi la polisi likiendelea na uchunguzi ili kuwapa wahusika wa tukio hilo.
CCM KATA YA MJINI SONGEA YAFANYA USAFI NA KUWATEMBELEA WAASISI KUELEKEA
MIAKA 49 YA CHAMA
-
Diwani wa Kata ya Mjini Mathew Ngalimanayo wa pili kushoto alievalia shati
la kijani akiwa na viongozi wa kata tawi la mjini baada ya kumaliza usafi
katik...
3 hours ago








Ubinadamu now umemwisha mmmh.........
ReplyDelete