WATU zaidi ya wanne
wamekufa papo hapo na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa vibaya baada
ya basi lenye namba za usajili T 798 AKV mali ya Lupondije
Express Kutoka Mwanza kuja Iringa kupinduka eneo la Mteremko wa
Ipogolo mjini Iringa wakati basi hilo likielekea kufaulisha
abiria wa Mbeya.
Ajali hiyo imetokea usiku wa jana, majira
ya saa 2 usiku baada ya basi hilo kufeli breki katika mteremko
huo huo mkali kabla ya kupinduka .
Source: Cloudsfm Radio
0 MAONI YAKO:
Post a Comment