Habari za asubuhi ndugu mpenzi msomaji wa Blog hii. Tunakupa fursa ya kupitia habari zilizoandikwa katika magazeti ya leo yaJumatato 21 march 2016 . Habrai kubwa kabisa ni kuhusu uchaguzi wa marudio katika visiwa vya Zanzibar.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment