Karibu katika habari za magazeti leo hii March 25 2016, huku tukiadhimisha Ijumaa kuu ambayo kwa wakristu tunaaminio ndiyo siku aliyoteswa mwana wa Adam Yesu Kristo. Tumekukusanyia magazeti ya leo na kukusogezea hapo ulipo.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment