Karibu tena katika AfyaCheck, leo tunaona mwezi wa sita tayari ashaanza kuona. Pia tunaona mtoto anakuwa anaweza kusikia kabisa, kwahiyo mama anashauriwa asikae kwenye makelele mengi itamuathiri mtoto.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment