Majaji wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC hii leo wanatarajiwa kutoa hukumu dhidi ya makamu wa zamani wa Rais wa Congo Jean- Pierre Bemba anaetuhumiwa kwa ubakaji na mauaji yaliyofanywa na wanajeshi wake katika nchi jirani ya Jamhuri ya Afrika ya Kati katika kipindi cha zaidi ya muongo mmoja uliopita.
WAZEE WA KIMILA TARIME WAMWOMBA RAIS SAMIA AMFIKIRIE LISSU, WASISITIZA
KULINDWA KWA AMANI
-
Na Mwandishi wetu, Mara
Wazee wa kimila kutoka koo 12 za Wilaya ya Tarime, mkoani Mara, wamemuomba
Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutumia falsafa yake ya 4...
13 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment