
Mkurugenzi wa Clouds Joseph Kusaga, akikumbukia enzi zake za udj
Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga siku ya jana aliandaa party maalum ya mad na kuwakutanisha ma dj aliowahi kufanya nao kazi miaka ya 80-90. Katika Party hiyo, kusaga aliweza kuwakutanisha mad wengi na maarufu waliotamba miaka ya nyuma na wengine mpaka sasa wakiendelea kutamba



Joe "nimefanya udj sehemu tofauti 1983 ndiyo nimeanza udj..zamani tulikuwa tunatumia kaseti kujifunzia #Udj".



Paul MC gee akisalimiana na @JosephKusaga katika hafla fupi ya Madjs wa zamani #EscapeOne

Kusaga kushoto akiwa na John Dilinga kulia



Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akiwa pamoja na Ma-Dj waliowahi kufanya kazi Clouds Media
0 MAONI YAKO:
Post a Comment