Karibu mpendwa katika habari za magazetini leo hii ikiwa ni jumapili ya pasaka. Tumekukusanyia habari zote kubwa katika magazeti ya Tanzania, Pitia vichwa vya habari na kisha fika katika meza za magazeti kujipatia nakala yako
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment