Mchezaji wa kilabu ya Southampton nchini Uingereza,mkenya Victor Wanyama ataendelea kucheza baada ya kuhudumia marufuku ya mechi tano wikendi ijayo na kilabu yake baada ya kupewa kadi nyekundu msimu huu.
Southampton inakabiliana na Liverpool siku ya jumapili.Anasema imekuwa kipindi kirefu tena kigumu kukaa bila kucheza. Mwandishi wa BBC Peter Musembi alikutana na mchezaji huyo katika uwanja wa Southampton nchini Uingereza na kumuuliza kuhusu maisha yake katika ligi ya Uingereza.
FAHAMU MAMBO 10 YALIYOMUWEKA MADEE CHINI YA ULINZI WA POLISI
Madee
alikamatwa na Polisi saa kadhaa zilizopita baada ya tukio la yeye
kuibiwa simu akiwa kwenye gari tena likitembea ambapo waliohusika ni
watu wawili wakiwa kwenye pikipiki saa tisa usiku akitoka Kigamboni Dar …Read More
TAMBWE SASA SAFI, KUIVAA STAND UNITED LEO
MSHAMBULIAJI Amisi Tambwe yuko fiti kucheza mechi ya leo, timu yake Simba SC ikimenyana na Stand United Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam- lakini beki Issa Rashid ‘Baba Ubaya’ na winga Haroun
Chanongo wataendelea kupumzika. D…Read More
MTOTO MWENYE KIZAZI CHA MSAADA AZALIWA
Womb Transplant babyMwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.Mwanamke
huyo mwenye umri wa miak…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment