April 18, 2016


Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, siku ya jana imezindua rasmi mbio za mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu. Viongozi mbalimbali wa kisiasa na wadau walikuwa na mitazamo yao kuhusu mbio za mwenge na utendaji kazi wa Rais Magufuli. Hapa tunakutana na Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo na muhadhiri mwandamizi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Profesa Kitila Mkumbo katika ukurasa wake wa Facebook aliandika haya



0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE