Hapo Nyuma kulikuwa na Kelele kuhusu mshahara wa Rais.
Watu waligeuza kama ndio hoja ya kuwatoa kimasomaso
Sasa Rais kavunja mzizi wa fitna na kutuambia anapokea kiasi cha sh. Ml 9.5 kwa mwezi.
Sasa umefika wakati kwa wana siasa wataje mishahara wanayolipwa katika vyama vyao.
Naomba tuanze na Mbowe atuambie hadharani
Kiasi anacholipwa kama mwenyekiti wa chama
Ni shilingi ngapi kwa mwezi? na kama kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni shilingi ngapi??
Pia kwakuwa niwakati wa uwazi na Mabadiliko ya ukweli
Atuambie pia malipo ya Makao makuu ya CDM pale ufipa iwe ni kwa mwaka au kwa mwezi ni shilingi ngapi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment