
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.John Pombe Magufuli ameivunja Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA) na kumsimamisha kazi aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Ally
Yahaya Simba na kumuagiza waziri wa Ujenzi, mawasiliano na uchukuzi Prof. Makame Mbalawa kumteua kaimu mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo
0 MAONI YAKO:
Post a Comment