Breaking News:Gari lapata ajali Mbezi, Dereva aungua na kufariki
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema, Gari lenye namba za usajili T598 BEL Toyota Landcruser,limepata ajali maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dereva hajafahamika kutokana na kuungua .Gari lipo Polisi Kawe.
No comments:
Post a Comment