Mashabiki wa Rihana , hii ni video mpya toka kwake inaitwa Kiss it Better
Hii inawahusu mashabiki wa yule mwana dada machachali duniani katika tasnia ya muziki mwana dada Riahana, ameachia hii video yake mpya inayoitwa Kiss it Better. Ikiwa tayari imetazamwa mara9,172,950
No comments:
Post a Comment