
“We live in a world of blue ticks and purple hearts
#Niroge” Vanessa Ameandika kwenye Instagram yake.Akaunti zao zimekuwa verified na kuwekewa kitiki cha blue kuonesha kuwa ni akaunti halali.

“This is to all my beautiful fans










#WataelewaTu#MeAmBiziii #HollywoodISeeYou#HuuMchezoHautakiHasira” Idris ameandika kwenye Instagram yake.Vee na Idris wameungana na Flaviana Matata na Diamond Platnumz kwenye orodha ya mastaa wachache ambao akaunti zao za Instagram zimukuwa Verfied.






0 MAONI YAKO:
Post a Comment