Hapa nyumba tu, Diamond Platnumz ameongeza idadi ya nyumba anazomiliki baada ya kununua nyingine.“Ilibidi niongeze kibanda kimoja jana…. thanks@dalalimwanamkena Mama ya platnumz@rahdh_one kwa kulifanikisha hili….” Ameandika Diamond kwenye video aliyoiweka Instagram ya nyumba hiyo iliyopo Salasala.
Nyumba hiyo ilitangazwa kuwa sokoni siku mbili zilizopita kwa bei ya Million 95.
Hivi karibuni aliweka wazi kuwa ana nyumba nyingine Afrika
kusini..
Nyumba hiyo ilitangazwa kuwa sokoni siku mbili zilizopita kwa bei ya Million 95.
Hivi karibuni aliweka wazi kuwa ana nyumba nyingine Afrika
kusini..
0 MAONI YAKO:
Post a Comment