Lile penzi lililopata kiki kwa muda mfupi la Mastar Idris Sultan na Wema Sepetu, limeishia wapi?? Je bado wapo kwenye mahusino?? Idris Sultan akihojiwa na Harakati za Bongo ameshindwa kutoa majibu sahihi.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
hahahahaaaaa kanichekesha sana Idris
ReplyDelete