Kufuatia Rais Magufuli kuondoa shamrashamra za Sherehe za siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kumekuwapo na mitazamo mbalimbali toka kwa wana siasa na watanzania kwa jumla. Huu hapa ni mtazamo wa Kitila mkumbo Muhadhili wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam na pia mwana siasa toka katika chama cha ACT Wazalendo
Wassira amchongea Mo Dewji kwa serikali kwa kutelekeza mashamba ya Rungwe
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen
Wassira ameitaka serikali kupitia Wizara...
The post Wassira amchongea Mo Dewji kwa...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment