
Mkuu wa kituo cha zimamoto Manispaa ya Morogoro ndugu Issa Isandeko ameeleza kazi wanazozifanya kama jeshi la zima moto manispaa ya Morogoro.
Akifanya mahojiano yake na Simple Bway katiak kipindi cha Mega Mix cha Radio Abood mkoani Morogoro Bwana Isandeko ameeleza jinsi ya utendaji wao wa kazi na kwa nini huwa wanachelewa.
Msikilize hapa chini akieleza jinsi ya utendaji kazi wao
0 MAONI YAKO:
Post a Comment