April 28, 2016



                           epa05280392 The coffin carrying the body of Papa Wemba is carried into a memorial service for the late Congolese singer in Abidjan, Ivory Coast, 27 April 2016. The 66 year old influential Congolese musician Papa Wemba died after collapsing on stage during the Femua Music Festival in Abidjan 23 April 2016.  EPA/LEGNAN KOULA
Mwili wa marehemu, Papa Wemba umewasili nyumbani kwao Kongo kwa ajili ya maandalizi ya mazishi
Muimbaji huyo nguli alianguka jukwaani weekend iliyopita na kufariki wakati akiwatumbuiza maelfu ya mashabiki wake waliojitokeza katika tamasha la muziki mjini Abidjan Ivory Coast.

Mwanamuziki huyo ambaye ametajwa kuwa mmoja ya waanzilishi wa muziki wa kizazi kipya cha Soukous anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne baada ya mwili huo kuwekwa katika uwanja wa mpira kwa raia kutoa heshima zao za mwisho
                                 Papa-Wemba3

525063398 

                                     Papa-Wemba12-630x420

                                       Papa-Wemba14-420x420


                                        Papa-Wemba16-630x420

                                                    Papa-Wemba18-315x420

Kwa hisani ya Bongo5.com

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE