Mkali wa muziki na sauti nchini Tanzania Ali Kiba ameachia rasmi Video ya wimbo wake wa AJE lakini katika wimbo huu kuna tofauti kabisa na ile audio ya Mwanzo.Humu hakuna mashairi wala sauti ya M. I ambaye katika audio ya mwanzo alisikika
WANANCHI PWANI WACHANGA PESA KUONDOA UCHAWI SHULENI
Na Edson Mkisi Jr
HEH, MAJANGA! Katika hali hisiyo ya kawaida, waganga wawili wanaounda
kundi maarufu la Rambaramba walinusulika kupoteza maisha Jumamosi ya
wiki iliyopita wakati wakitekeleza majukumu yao …Read More
MAXIMO ATAKA KIIZA ATOSWE YANGA
Na Bertha Lumala, Dar es Salaam
KOCHA wa Yanga, Marcio Maximo amependekeza uongozi wa timu hiyo ya
Jangwani umteme mshambuliaji Mganda Hamis Kiiza wakati wa usajili wa
dirisha dogo msimu huu utakaofunguliwa kesho na ku…Read More
RAIS KIKWETE ATOKA WODINI, AENDELEA VIZURI
Rais
Jakaya Kikwete ametoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na
kuhamishiwa kwenye hoteli maalumu ambako ataendelea kuwa chini ya
uangalizi wa madaktari. Rais Kikwete alifany…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment