Baada ya kukaa kimya kwa muda, hatimaye mwanamuziki mkongwe Marlaw Malima ameachia wimbo mpya kabisa akiwa na Producer wa kizungui Fundi Samweli. Wimbo unaitwa Pamoja, unadhani Marlaw kazungumzia kuhusu nini humo??
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment