
Kiu na hamu ya kuiona video ya Migulu Pande toka kwa Madee Rais wa Manzese sasa naamini utaikata hapa. Rais wa Manzese ametuletea video yake hii mpya ambayo audio yake inafanya poa sana kwa sasa ktaani na kwenye vituo vya Radio. Katiak Video hiyo pia ameonekana msanii wa Filamu nchini Stani Bakora.
Itazame hapa chini
Itazame hapa chini
0 MAONI YAKO:
Post a Comment