Chuo Kikuu cha
St. Francis ambacho ni tawi la Chuo Kikuu cha St. Augustine kimewafukuza
wanafunzi wote waliokua wakisoma katika kitivo cha Medical Science.
Chuo hicho kimefikia hatua hiyo baada ya kueleza sababu 5 kwanini wanafunzi hao hawatakiwi kuwapo chuoni baada ya saa kumi leo.
Nimeambatanisha na taarifa ya kufukuzwa kwa wanafunzi hao.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment