Akizungumza kupitia kipindi cha Kubamba cha Times Fm jana Jumapili, Giggy ameweka wazi mahusiano yake na Matonya ambapo alimpigia simu ‘live’ radioni na kuzungumza kimahaba huku akijinasibu kwa dhati kuwa Matonya ni miongoni mwa Wapenzi wanaohonga vizuri Zaidi.
“Nimechoka kuulizwa kila siku juu ya Matonya ngoja nimpigie umsikie mwenyewe(anampigia)” Alisema Giggy na kumpigia simu Matonya.
“Unajua nampenda sana Tonya Coz anajua kuhonga aisee, namuelewa sana yani” Alimaliza.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment