
Hata hivyo wimbo wake mpya, Namjua ni moja kati ya nyimbo zake zilipata kick kila kona ya Bongo kwa sasa na umeshafanikiwa kupata views zaidi ya laki mbili kwenye mtandao wa Youtube ndani ya siku nne tangu umetoka.
Akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo, kinachoruka kupitia EA Radio, Shetta amesema, “wimbo wa ‘Shikorobo’ ulikuwa unaweza kwenda bila hata Kcee.”
“Ukiangalia nimeimba verse na chorus, watu walikuwa wanaongea kuwa siwezi kufanya wimbo mwenyewe bila ya kumshirikisha mtu. Kwenye wimbo wa ‘Namjua’ nikaona ni wakati sahihi wa mimi kufanya wimbo huu mwenyewe,” aliongeza.
Awali Shetta amewahi kumshirikisha Diamond kwenye nyimbo zake mbili
0 MAONI YAKO:
Post a Comment