Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge
wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma jana tare 8 Mei, 2016.
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge
wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma jana
Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( katikati pamoja na viongozi wengine
wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge
wanaopambana na Rushwa-Tanzania. Wengine katika ni , Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki (kushoto) na
Cecilia Paresso (Mb) – Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho.
Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment