June 14, 2016

Bado klabu ya Dar es Salaam Young Africans inaendelea na mazoezi yake ya kujifua kuikabili klabu ya MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa hatua ya nane bora Kombe la shirikisho Afrika, mchezo ambao utachezwa kati ya June 19 au 20, Yanga wanaendelea na mazoezi yao wakiwa wamefikia katika hoteli ya Riu iliyopo mji wa Antalya Uturuki.


habitacion-doble-double-room_tcm55-48747 

piscina-pool_tcm55-48734 

playa-beach-01_tcm55-121653
piscina-pool-01_tcm55-78428
actividades-activities-1_tcm55-119512 


recepcion-reception_tcm55-78433

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE