Katibu mkuu wa CUF Maalim Seif amtaka prof Lipumba atafute uwenyekiti chama kingine . "Cuf hana nafasi ya uongozi labda abakie kuwa mwanachama wa kawaida tu ndani ya Cuf", maalim Seif amesema hayo wakati akimjibu mwaandishi wa bahari wa kitanzania alieko Marekani alietaka kujua msimamo wake kuhusu kurejea kwa prof Lipumba cuf,Maalim seif anaendelea na ziara yake nchini marekani akiwa na Ismail Jussa taarifa hizi kwa hisani ya Jussa toka USA
KATIBU MKUU MASWI AIPONGEZA OFISI YA WAKILI MKUU WA SERIKALI USIMAMIZI WA
MASHAURI
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakimu Maswi
akimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Mashauri na Uthibiti
Ubora wa Ofisi...
55 minutes ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment