June 12, 2016

 

Baadhi ya wanawake kutoka wadi ya Ndeiya nchini Kenya wameandamana ili kushinikiza waume wao kuwapa haki ya ndoa. Wanawake hawa wanasema kuwa waume wao hulewa kupindukia na kushindwa kutekeleza tendo la ndoa.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE