July 28, 2016

 Kampuni ya Clouds Media Group ya Jijini Dar Es Salaam inayomiliki vituo vya habari vya Clouds Radio, Choice Fm, Clouds T V na Clouds Digital, imekabidhi msaada wa Shilingi Milioni kumi za Kitanzania TSH:10000000/ kwa shirika lisilo la kiserfikali la GSM foundition linalojihusisha kwa kutoa huduma ya kuwafanyia upasuaji watoto wenye ugonjwa wa Vichwa vikubwa na Mgongo wazi.  

IMG-20160728-WA0062

Msaada huo uliotolewa na Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba kwa niaba ya Clouds Media Group umekabidhiwa katika mfuko wa GSM FOUNDATION ambao wanahusika na kusaidia na kusimamia kwa watoto wenye vichwa vikubwa na matatizo ya mgongo.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE