Kwa mara nyingine tena yule mkali wa kuandika mashairi ya Hip Hop mkoani Morogoro bwana mdogo Mash J wa Mpera Mpera, amekuja tena na wimbo wake mpya wa Taarifa aliomshirikisha mkali wa Chorus toka Weusi mtu mzima G. Nako. Wimbo huo mpya umefanywa na Producer Vennt Skillz katika studio za Kwanza Records za Mjini Morogoro
WIZARA YA FEDHA YAENDELEA KUPONGEZWA KWA WELEDI WA UTOAJI ELIMU
-
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora, Mhe. Deus Sangu (Mb) (kulia) akisalimiana na Naibu Waziri wa
Maliasili na U...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment