Kama uliiangalia sehemu ya kwanza ya huyu msichana aliyetembea na wake za watu, Basi tunaamini ulitamani sana kuone muendelezo wa story hii inakuwaje!!! Kupitia Global TV huyu Binti amefunguka muendelezo wa Story hii.
PENZI LA DIVA NA GK KAMA BOMBAY
Penzi la Veteran wa bongo Flava Crazy GK na mtangazaji wa Clouds fm Diva loveness linaendelea kunoga tofauti na watu walivyokua wakitabiri, wawili hawa wanakaribia kufikisha mwaka mmoja kwenye mahusiano na hivi karib…Read More
PADRI AFARIKI KWA EBALA
Padri Miguel enzi za uhai wake.
PADRI raia wa Hispania, Miguel Pajares, 75, aliyeambukizwa virusi vya
Ebola wakati akifanya kazi Afrika Magharibi amefariki d…Read More
JE! HII NDIYO AHADI ALIYOUITIMIZA ROMA??
Mwanamuziki mwenye Rable toka Tongwe Records ROMA mkatoliki kama utakumbuka vizuri, katika fainali za Kombe la Dunia zilizofanyika nchini Brazil alisema endapo timu ya Brazil ingefungwa dhidi ya ujerumani basi angetoka …Read More
DIWANI WA KATA YA MSHANGANO AJIUZULU
-
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano akionesha barua ya kujiuzulu
Diwani wa Kata ya Mshangano ,Samuel Mbano aliyejiuzulu kupitia Chama Cha
Mapind...
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment