August 28, 2016

 

  
Msanii zao la SupaNyota2013 Eduboytz akifungua jukwaa la FiestaMuleba  ZimbihileStadium

  

Time ilikuwa ya Bonge la Nyau kushambulia jukwaa

 
 Kutoka Mwanza mpaka Muleba siyo mbali kabisa kwa Barakah Da Prince. Anawaburudisha majirani zake 

 
Anatoka katika Lebal ya W C B anaitwa Raymond. Akikiwasha kinomanoma jukwaani

 
Chaf Poz mtu mzima Bill Nass ilifika zamu yake 

  
Kwenye injini yupo D J Zero akiharibiki kitu

 
Mwamba wa Kaskazini akisema nao watu wa Muleba katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 #Imooo

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE