August 29, 2016

 



Mh.Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema Tayari Amesomewa mashtaka mawili mfululizo na yote dhamana zipo wazi Wakili msomi John Mallya pamoja na jopo la mawakili wenzake Ameshatimiza wajibu wake, na Mashtaka yote hayo dhamana iko wazi, sasa ni taratibu zadhamana zinakamilishwa.

 Godbless J Lema, anakabiliwa na makosa ya kutuma ujumbe wa kuudhi kwa mkuu wa Mkoa pamoja na kutoa maneno ya Uchochezi kupitia audio..

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE