August 20, 2016

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must), Wilson Kiunsi amewataka wakazi wa mikoa ya Mbeya na Iringa kuacha kuliangalia jua bila miwani maalumu litakapopatwa Septemba Mosi kwa zaidi ya saa tatu.

Jua hilo litapatwa kuanzia saa 4.17 asubuhi hadi saa 7.56 mchana kwa kuwa mwezi utakuwa katikati ya jua na dunia.

Amesema  watakaoangalia kupatwa kwa jua bila miwani maalumu wanaweza kupata madhara ya kutokwa na machozi au kuugua macho baada ya muda kupita.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE