August 24, 2016


Imetolewa leo tarehe 24/82016.
Kutokana na kikao kilichofanyika leo Protea Hotel, Courtyard Dar es salaam kati ya Viongozi wa dini na vyama vya siasa vyenye uwakilishi bungeni juu ya hali ya mahusiano na ushiriki wa wabunge ktk vikao vya Bunge la JMT na athari zake kwa wananchi , Suala la hali ya amani na usalama wa nchi (Maandalizi ya UKUTA tarehe 1/9/2016) na hali ya kisiasa ZANZIBAR.
Kikao hiki kilihudhuriwa pia na waziri wa mambo ya ndani ya nchi Ndugu Mwigulu Nchemba.
Viongozi wa vyama vya CUF, CHADEMA, NCCR- MAGEUZI NA ACT-WAZALENDO kesho watafanya mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za chama cha NCCR-MAGEUZI zilizopo Ilala, Bungoni. Kuanzia saa 5 kamili asubuhi.
Nyote mnakaribishwa.

Imetolewa leo tarehe 24/82016.
 
Mbarala Maharagande

Mratibu wa programu.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE