Mtaalamu mahiri ambaye ametokea kukubalika sana na watanzania ikiwemo
vyombo vya habari ametoa kali ya mwaka katika mada zake kupitia Clouds
FM pale alipofichua kwamba ikiwa umeishi na mwanaume kwa muda mrefu sana
na hujawahi kusikia akipumua (aghalabu kitarumbeta) basi ujue mwanaume
huyu ana siri nyingi sana anakuficha na kutopumua (flatulence) ni ishara
ya kwamba anazibana siri hizi kama anavyolibana tukio lenyewe
Huyu ni Dr Chriss Mauki
Wanasayansi wengine wamenukuliwa wakisema Holding it in may cause major health repercussions.
Kiswahili kuwa Lugha rasmi ya Afrika
Kiongozi
wa chama cha watetezi wa Uhuru wa kiuchumi (EFF) cha Afrika Kusini,
Julius Malema, ametoa wito wa kupitishwa kwa lugha moja itakayotumika
barani Afrika, huku akipendekeza lugha ya Kiswahili kuwa lugha hiyo.
Ma…Read More
Morogoro kukata utepe wa Fiesta 2018
TIGO NA CLOUDS TENA: NI VIBE KAMA LOTE.
Taa ya kijani imewaka, honi zinasikika kushtua kila dereva aliyekuwa hajakaa mkao wa kusepa, nchi yote inaweka gia ya kusogea mbele, penye kiza nuru imewaka, penye upweke …Read More
Breaking News: Misanya Bingi afariki Dunia
Aliyewahi kuwa mtangazaji maarufu sana wa Radio nchini kupitia Radio One Stereo na ITV Dkt. Misanya Dismas Bingi maarufu Misanya Bingi amefariki Dunia. Taarifa za awali zinasema, misanya Bingi amefariki Dunia usiku …Read More
Luka Modric Anyakua Mchezaji Bora, Ronaldo Mshambuliaji Bora
KIUNGO wa Klabu ya Real Madrid na
nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric amefanikiwa kutwaa tuzo
ya mchezaji bora wa Ulaya akiwafunika Mo Salah wa Liverpool na
Cristiano Ronaldo wa Juventus.
DATA 17/18
…Read More
Gari la Mbunge wa CHADEMA lashambuliwa kwa risasi
Gari la Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe. Anna Gidarya
limeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi ya mbele na nyuma ya
ubavu mmoja muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo, Monduli
mkoa…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment