September 26, 2016

 

Wakazi wa mji wa Moshi nao wameingia katika Historia ya mwaka 2016 baada ya usiku wa juzi nao kuungana na miji mingine katika kusherehkea na kushuhudia jukwaa la Fiesta la 2016 katika mji wa Moshi.

 Christian Bella akiperform kwenye steji
 Amezaliwa tu na kukulia Manzese, lakini Moshi ndiyo kwao. Anaitwa Nay wa Mitego

 

wengi wanasema ndiyo mfalme wa R $ B kwa sasa, anaitwa Ben Pol


 Waheshimiwa wakifwatilia Fiesta Vilivyo .Ni Mkuuwa mkoa wa Kilimanaro Mh: Meck Saddiq na mkuu wa wilaya ya Moshi Mh: Kippy Warioba


Nyumbani ni Nyumbani bwana. Mau Samma kasema hapana, sitaki kuwaangusha nyumbani kwetu.

 
Dogo Janjaro akikinukisha mbayaaaaaaa Jukwaani

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE