September 17, 2016



 

Huwaga hawakosei kabisa kwenye show zao. nasafari hii wanavalishwa na  na Cutrite Designs 


 
wanafamilia wa Clouds fm Dodoma.

  
Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson , Waziri Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira January Yusuph Makambawakiifwatilia show ya Fiesta mjion Dododma usiku wa jana kuamkia leo 
  
Ikafika zamu ya JUX kuvamia jukwa la Fiesta 2016 mjini Dodoma
 
 
Vanessa naye aliikazi hii ya Dododma

  
Muite Morogoro Belle 9 naye alikinukisha mbaya

Mwenye Hip Hop yake akitoa neno kwa mashabiki

  
Unaujua wimbo wa Marehemu Dr Remmy Ongala na Orchestra Super Matimila uliopigwa miaka hiyo kuitukuza Dodoma?
#MfalmeWaR&B @iambenpol jana alipiga ngoma hiyo jukwaani na kusababisha Wabunge na Mawaziri waliokuwepo Uwanjani kupanda jukwaani na kuanza kukumbuka nyakati hizo.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE