Tamasha la Tamadunika
limefanyika Viwanja vya Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege, mjini
Morogoro na kufunguliwa na Afisa Utamaduni wa manispaa hiyo, Steven
Ditenya na vikundi vya ,Mapinduzi Culture Group, AfrikaBati , Towero
Sanaa Group, Dragon vimeshiriki.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment