Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa
Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu
wao wa karibu. Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.
Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment