October 11, 2016

Arnold Schwarzenegger — mrithi wa Donald Trump kwenye kipindi cha runinga cha ‘Celebrity Apprentice’ na gavana wa zamani wa California, amesema kufuatia skendo ya mgombea huyo wa Urais ya kudhalilisha wanawake, hatompigia kura.


Nyota huyo wa “Total Recall” ametweet: For the first time since I became a citizen in 1983, I will not vote for the Republican candidate for President.”


Hata hivyo hakumtaja Trump.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE