Leo ikiwa ni Oct 14 ya mwaka 2016, Taifa likiwa linaazimisha kumbukumbu ya kifo cha Mwalim Nyerere, Wakazi wa Sumbawanga wameingia kwenye Historia ya Fiesta kwa mara ya kwanza, lakini pia leo hii ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya ndugu yetu, mdau mkubwa sana wa ubalozini.blogspot.com na Macjhaku Media ndugu mpendwa Steven Mwita. Tumekutengea muda huu wa kuungana nawe na familia nzima ya mzee Mwita kukupa pongezi nyingi kwako, Tunamuomba mungu akupe zaidi moyo wa ukarimu, upendo na wivu wa kimaendeleo. Akutenge na maadui zako na akuzidishie marafiki wema zaidi kuanzia sasa. Happy Birthday Steve Mwita.
Enjoy your Day
0 MAONI YAKO:
Post a Comment